Kwanza Production

Kwanza Production

Share

Kazi yetu ni kutunza kumbukumbu za wale ambao wanathamini mawazo, fikra, na mbinu zao kwa manufaa ya wengine au vizazi vipya. Tunajishughulisha na kufanya mahojiano ya AUDIO na VIDEO na watu mbalimbali ambao yale watendayo huathiri jamii yetu. Pia kupiga picha za matukio mbalimbali yanayotendeka hapa Washington DC na vitongoji vyake. Tukiamini kuwa UBORA WA KAZI ni muhimu kuliko uharaka wake. Ni JAMII PRODUCTION....
Ambapo USAHIHI WA FIKRA NDIO FIKRA SAHIHI

Want your business to be the top-listed Media Company in Silver Spring?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


1707 January Drive #204
Silver Spring, MD
20904