Linus Patrick page.

Linus Patrick page.

Share

19/03/2018

Mtoto kuwalea Watoto wenzake ni kosa kisheria.
√Ni wajibu wa wazazi kuwalea Watoto wao na kuwafundisha jinsi ya kuwaheshimu watu,tabia nzuri, kufanya kazi na kutimiza wajibu wao.
√Hila kuna baadhi yawazazi wanawapa Watoto mzigo wa kuwalea Watoto wenzao jambo ambalo mwisho wake ni kupotea kwa maadili katika jamii au kukosa haki ya kupata ELIMU.
√ na Timiza wajibu wenu.

17/03/2018

Mzazi k**a huyu inabidi achukuliwe hatua gani,??

Mama ndiye mtu anayebidi kuwa msitari wa mbele katika kuhakikisha Watoto wanakuwa maadili na tabia nzuri tofauti na Baba ambaye kazi yake kubwa ni utafutaji kwa ajili ya familia.

Ili mtoto akuwe akiwa na afya njema lazima apate chakula chenye virutubisho na kwa wakati ila sasa mzazi huyu kaamua kuwapandisha Watoto hao mlangoni kwani wao ni fundi Umeme..?
-Inasikitisha sana na kuleta mtazamo hasi , wazazi na serikali tukemee kwa nguvu swala hili ili lisije leta madhara hapo baadae.

By.

08/03/2018
Want your business to be the top-listed Media Company in Kampala?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Kampala