MAMBO MSETO

MAMBO MSETO

Share

Photos from MAMBO MSETO's post 30/08/2025

NI MAHAFALI YA TISA YA DARASA LA SABA NA MAHAFALI YA KUMI NA MBILI YA DARASA LA AWALI YA SHILE ZA GREEN STAR WILAYANI KAHAMA, VIJANA WAKIONESHA JINSI WANAVYOVITENDEA HAKI VIPAJI VYAO KWA KUONESHA BURUDANI MBALIMBALI

15/08/2022

CARDIFF YAJITOSA KUMSAJILI SAMATTA
Ripoti kutoka Ubelgiji zinamhusisha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania 🇹🇿 na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagoal’ kutua Cardiff City ya Ligi Daraja la Kwanza England maarufu k**a Championship.
Straika huyo (29) ameonyeshewa mlango wa kutokea huko Uturuki kwenye
klabu yake ya Fenerbahce baada ya kutokuwa kwenye mipango ya kocha mpya wa kikosi hicho, Jorge Jesus raia wa Ureno.
Mwandishi wa habari wa Ubelgiji, Sacha Tavolieri ameripoti Cardiff ipo kwenye mazungumzo juu ya uwezekano wa kumchukua mshambuliaji huyo kwa mkopo

Want your business to be the top-listed Realtor/realty Service in Shinyanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Majengo, Kahama
Shinyanga