JOTV

JOTV

Share

30/07/2023

Klabu ya Yanga imempa Thank you aliyekuwa straika kisiki wa klabu Hiyo Fiston Mayele na kuachia video iliyokuwa inamuonesha mayle akiwaaga mashabiki wa yanga kupitia page ya instagram ya yanga kumeandikwa hivi"THANK YOU 🙏🏽

Uongozi wa Young Africans SC unapenda kuutarifu Umma kuwa tumefikia makubaliano na Klabu ya Pyramids FC kumnunua mchezaji wetu Fiston Mayele."

Want your business to be the top-listed Media Company in Shinyanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Shinyanga
1313