Simba Plumbing Water Point Service
03/01/2023
Simba Plumbing Water🚰 Point Service Mkubwa wa kaz Napokuwa nipo kwenye majukumu yangu ya kiufund ni kazi kaz kwanza Mambo mengine Hufata Baada yakumaliza kazi, ukiona hivi ujue kuku alishwa chinjwa zaman yamebaki manyoya ni maandalizi ya finishing kukamilsha system ya maji kwa kufunga hizi apa kwa hewa, Xo kwa mahtaji ya kufungiwa system ya maji barid na moto au maji barid tu kwenye nyumba yako na finishing makin kabsa usiwaze fund nipo kganjan kwako piga 0763951026 napatikana mkoa wa Shinyanga.
🖐plumbing & pipe fitting
Call:0763951026 Voda WhatsApp📲
Call:0714292662 Tigo WhatsApp📲 💎
👇
🚿🛀
01/01/2023
🛀🚰
❥❥❥══════════════❥❥❥
Mwanzo mwisho fund👷🏽 la Mafund👷🏽, ni mwendo wa kukaza hakuna time ya kulegeza, shy town iz ma hood changa karata yako kijana mwanzo mwisho, elimu ya ufund👷🏽 nilikaza mwanzo mwisho sa sikosei kufunga ma system ya maji💦 barid na moto kwenye majumba🏫🏘️, fanya kunichek kwa hewa piga 0763951026 k**a una nyumba🏘️ nikufungie system ya maji barid na moto na finishing nzuri za kisasa kabsa. Ulipo nipo tayari kwa ajir yako.
🖐plumbing & pipe fitting
Call:0763951026 Voda WhatsApp📲
Call:0714292662 Tigo WhatsApp📲
💎
👇
🚿🛀
10/11/2022
▁ ▂ ▄ █ ▇ ▆
❥❥❥═════════❥❥❥
🛀🚰
Fundi la kujenga Taifa kwenye ubora wangu niko smart sana na ufundi wangu, hapa nipo ndan ya mjengo nafunga system ya maji barid na moto ndani ya huu mjengo, xo k**a unanyumba na unahtaj mtaalamu wa kufunga system konk ya maji barid na moto usiwaze Simba Plumbing Water Point Tz ndio habari kubwa ya mjin.
👇
💥💥💥
nipo kiganjan kwako fanya kunchek fundi hodari nikushangaze😲
Motooo mpyaaa🔥🔥🔥
🖐plumbing & pipe fitting
Call:0763951026Voda Whatsapp📲
Call:0714292662Tigo Whatsapp📲
Call:0622878437Halotel Whatsapp📲
🙌
👇
🚿🛀🚽🔵🔴
06/11/2022
▁ ▂ ▄ █ ▇ ▆
❥❥❥═════════❥❥❥
🛀🚰
Fundi LA kujenga Taifa nipo na vibe k**a lote ni mwendo wa kufunga system ya maji barid na moto ndan ya huu mjengo, k**a una nyumba na unahtaj mtaalamu hodar wa kufunga system ya maji barid na moto na drainage system & west system usiwaze suluhsho lako ni Simba Plumbing Water Point Tz fanya kunchek magic fingers🖐 nkushangaze piga 0714292662 napatikana mkoa wa Shinyanga. Ulipo nipo tayari kwa ajiri yako karibu kwenye mikono sahihi ya kiufundi.
??
💥??💥
nipo kiganjan kwako fanya kunchek fundi hodari nikushangaze😲
Motooo mpyaaa🔥🔥🔥
🖐plumbing & pipe fitting
Call:0763951026Voda Whatsapp📲
Call:0714292662Tigo Whatsapp📲
Call:0622878437Halotel Whatsapp📲
🙌
👇
🚿🛀🚽🔵🔴
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
DOME NDEMBEZI
Shinyanga