Emmsport tv
17/11/2023
JE WAJUA!!!!
Timu ya Taifa ya Uruguay inakuwa timu ya kwanza chini ya kocha wao MARCELO BIELSA (68) kuifunga timu ya Taifa ya Argentina, baada ya timu ya Argentina kutopoteza michezo ishirini na tano (25) mfululizo.
Argentina wamepoteza kwa kufungwa magoli 2-0 wakati wa mechi ya kufuzu kwa kombe la Dunia Jana November 16
Vile vile ndio Mara ya kwanza toka mwezi wa kumi na moja(11) mwaka Jana 2022 kwa Nguli wa mpira wa miguu Lionel Messi kutokufunga Goli.
11/07/2022
Kheri ya sikukuu ya kuzaliwa Amad diallo. Mu ivorycost kinda anayekipiga kunako timu ya Manchester united
Kwa sasa anatimiza miaka 20
11/07/2022
RASMI; Kocha mpya wa sasa wa Manchester united Erik ten hag amethibitisha kuwa Harry maguire ndiye atakaendelea kukiongoza kikosi chake uwanjani(captain) msimu ujao utakaoanza trh 5/8/2022.
Mechi ya kwanza ya Manchester united itacheza old Trafford trh 7/8/2022 wakiwakaribisha Timu ya Brighton majira ya saa 10:00 jioni
08/07/2022
MJUE; Angel Di Maria(34) ndiye kiungo kinara anayeongoza Mwenye jumla kubwa ukijumlisha magoli & assist katika mashindano ya vilabu bingwa barani ulaya ( UEFA champion league) kuanzia mwaka 2003/04 mpaka sasa
> anaongoza akiwa na jumla ya (54)
magoli (22) assist(32)
Anayemfuata ni Ricardo kaka(52), na
wa tatu ni Frank lampard(44), wa nne ni cesc fabregas (43) wa tano ni Arjen Robben(41).
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
Mwanza