Hiwamedia
12/04/2022
Hadithi zimekuwa nyingi kumuhusu Albert Mangwair hasa taarifa za kifo chake.
Wengi wanadai kwamba alikufa kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya kupitiliza.
Wengine wamekwenda mbali zaidi wakisema alikuwa akisafirisha madawa yaliyokuwa ndani ya tumbo lake, hivyo yalijipasua tumboni hali ambayo ilisababisha kifo moja kwa moja.
Wapo ambao wanasema, alikuwa anaumwa. Afya yake haikuwa nzuri na wala hakutumia madawa ya kulevya.
Lakini ipo riport ya daktari ambayo inaeleza kila kitu kuhusu kifo cha R***r huyu.
Je ukweli ni Upi? Ni ile kauli ambayo aliisema Majani kwamba Albert aliingia katika madawa kutokana na baadhi ya kituo (anakitaja) kwamba kilimnyonya?
Ama wale ambao wanasema alitumwa kwenda kupeleka madawa ya kulevya South Africa? Kujua yote haya tumekuwekea kila kitu kinachohusu maisha yake, kifo chake na vipi aliingia katika matumizi ya madawa ya kulevya.
Gusa link👇👇 Tukafuatulie kwa pamoja tufahamu ni nini haswa kilitokea kwa Mangwair hadi akapoteza maisha
https://youtu.be/N4YyBfax9eY
https://youtu.be/N4YyBfax9eY
KIFO CHA MANGWAIR | ALIKUFA KWA MADAWA YA KULEVYA..? | KWANINI ALIENDA SOUTH | KIFO CHAKE KILIPANGWA Makala hii inaangazia maisha ya R***r kutoka Tanzania ambaye kabla ya kifo chake alienda South Africa huku akiacha maneno mengi wapo wanaoesema alikufa kwa m...
09/04/2022
zipo stori zinazosema kwamba Nelson Mandela aliuawa mwaka 1985 akiwa ndani ya gereza la Roben Island akiwa na umri wa miaka 67 tu.. na yule aliyefariki mwaka 2013 akiwa na miaka 98 hakuwa Nelson Mandela...
ndio maana nchini Afrika Kusini wanasheherekea tu siku ya kuzaliwa kwa Nelson Mandela kila ifikapo July 18 wakisindikiza na tukio la dakika 67 za hisani kwa kufany mema katika jamii , wakiamini kwamba Nelson mandela aliishi miaka 67 tu na ndani ya miaka 67 hiyo alifanya mambo mema..hivyo wanaenzi mambo mema ambayo Nelson Mandela aliyafany kwa miaka 67 ndani ya Dakika 67...
k**a Nelson Mandela alifariki mwaka 1985 je yule aliyefariki mwaka 2013 ni nani..anatokea wapi.? jina lake kamili ni nani...?
Majibu ya swali lako..tumekuekea katika makala hii iliyojaa mengi ya kushangaza..gusa maandishi ya bluu hapa chini ukaitazame
https://youtu.be/HM8TKg1p8pI
https://youtu.be/HM8TKg1p8pI
UKWELI KUHUSU NELSON MANDELA | ALIYEKUWA RAIS SIO MANDELA MWENYEWE | MANDELA ALISHAKUFA AKIWA JELA.? Makala hii inaangazia kuhusu ukweli wa aliyekuwa rais wa kwanza wa Africa Kusini Nelson Mandela.
02/04/2022
EPL LEO 02 APRIL
01/04/2022
Rose Ndauka "Sanaa ya Bongo Bila Kuwa Mtupu Huwezi Kuwa Bora"
Msanii wa filamu kutoka Tanzania Noureen Mkongwa maarufu k**a Rose Ndauka amewajia juu wadau wa sanaa nchini kufuatia mwenendo wao hasa katila upande wa filamu.
Rose Ndauka ambaye pia ni msanii wa Bongoflava ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwapa taarifa mashabiki zake kuwa anaacha mziki lakini pia amezungumza namna ambazo soko la filamu na muziki lilivyo mchini huku akisisitiza kwamba bila kuwa mtupu katika kufanya filamu basi huwezi kuwa muigizaji bora.
"Mimi Naureen Mkongwa maarufu k**a Rose Ndauka, kwa ihari yangu mwenyewe leo natangaza rasmi kuacha kuigiza na kufanya Muziki rasmi mara baada ya kutoona faida na manufaa yake zaidi ya kudharauliwa kila kukicha na kushushiwa heshima yangu.
Kwakipindi kirefu sasa nimekuwa nikitumikia sanaa na ndio iliyonipa Umaarufu huu nilionao, nawashukuru sana Mashabiki zangu katika Tasnia ya Filamu lakini pia nawashukuru sana mashabiki wapya niliojizolea kwenye fani yangu nyingine ya Muziki kwa sapoti yenu pamoja ushauri mwingi na tofautitofauti mlionipatia.
Leo nimeamua rasmi kuachana na mambo yote yanayojihusisha na sanaa kutokana na dhulma, urimbukeni, ubabe, manyanyaso, ubadhilifu na mengine mengi yaliyojaa husda na chuki unapofanya vizuri.
Najua ntakuwa nimewakwaza wengi kutokana na maamuzi haya ila sina budi kutokana na kulinda heshima yangu niliyojijengea tangu naanza sana mpaka leo hii nipo kwenye ndoa na familia inayonitegemea k**a mama.
Hakuna yoyote aliyenishawishi ila nimaamuzi yangu binafsi ambapo naamini kabisa mta yaheshimu na kuzingatia, Mume wangu mpenzi najua ntakuwa nimekudisapointi sana juu ya maamuzi haya, ila naomba uyaheshimu kwa maslahi ya baadae ya watoto wetu.
Sanaa ya Bongo bila kujichachua kidogo😜, kuaa mtupu 👻☠️ ama kunyenyekea waliotangulia na mapapa fulani hivi huwezi kuwa bora, ndomana utakuta kila siku tunatoa watu walewale tu na uwezo wao fake, sasa kwasababu ya hawa kadhaa wanaochafua sanaa yetu nimeona nikae kimya.
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥️ Mungu ibariki sanaa yetu kwa ujumla wake. ''
Hata hivyo baadhi ya mashabiki wanadai kuwa huenda msanii huyo ameamua kutengeneza kiki huenda ana kazi mpya anataka kuachia siku za usoni.
Yapi maoni yako! Funguka.
Endelea kuwa karibu na HIWAMEDIA kila siku ili usipitwe na habari muhimu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Mwanza
4492