Religious Organization
Ufunuo 22:17 NA ROHO NA BIBI-ARUSI WASEMA,NJOO! NAYE ASIKIAYE NA ASEME NJOO! NAYE MWENYE KIU NA AJE;NA YEYE ATAKAYE ,NA AUATWAE MAJI YA UZIMA BURE .
06/04/2024
Tangazo Tangazo Tangazo Chuo Cha Zion Christian Mission Center tawi la Tanzania kinapenda kukutangazia ufadhili wa masomo ya biblia BURE sawa na Ufunuo 22:17 Kwa mda wa mwaka mmoja Kwa njia ya mtandao popote ulipo utafundishwa mafumbo yote ya biblia,vitabu vya unabii k**a Ezekiel,isaya nk na mwisho kitabu Cha ufunuo msitar Kwa mstari Kwa maelezo zaidi piga simu 0765919952 or 0676919952 (YOHANA17:17 UWATAKASE KWA ILE KWELI;NENO LAKO NDIYO KWELI)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Telephone
Website
Address
0000
Shinyanga