RCB MEDIA
09/10/2023
08/10/2023
Singida Fountain Gate Fc 0 - 1 Simba Sc.
Saido Ntibazonkiza 26’
08/10/2023
Nchi ya Israel imejibu mashambulizi kwa kurusha makombora ya anga katika ukanda wa Gaza nchini Palestina yaliyoua watu zaidi ya 300 Kutoka Sehemu Mbalimbali
Kwa mujibu wa tovuti ya Hindustan Times imeripoti mashambulizi yameanza tangu jana Jumamosi Oktoba 7, 2023 yamefanyika Khan Younis, kusini mwa ukanda wa Gaza ambapo Wizara ya Afya ya Palestina imesema karibu watu wengine 2, 000 wamejeruhiwa na shambulizi Hilo zito.
Taarifa kutoka Palestina zinasema wanaendelea kutafuta majeruhi walionasa kwenye vifusi vya nyumba zilizoharibiwa katika mashambulizi hayo ya kulipiza kisasi yaliyopewa jina la operesheni ya Upanga wa Chuma.
Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Albert Chalamila Leo Akiwa Kwenye Mkutano wa Hadhara na Walimu Shule Tofautitofauti amewaasa walimu Kufanya Kazi Kwa Bidii Haswa kwani Rais wa awamu ya Sita Dkt.Samia Suluhu amewekeza Kwa asilimia nyingi Kwenye sekta ya Elimu.
“Nimewataka walimu kuchapa kazi kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt anawapenda walimu na dhamira yake inajidhihirisha wazi kutokana na uwekezaji mkubwa anaoufanya katika sekta ya elimu, k**a uboreshaji mkubwa wa miundombinu ya elimu, kupandisha mishahara, ajira kwa walimu, elimu bila malipo, mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu na sasa ameshafungua dirisha kwa wanafunzi wa astashahada nao wanayo fursa za mikopo.....”----- Albert Chalamila
Eng. Hersi Said ambaye ni Rais wa Klabu ya Yanga leo ameshiriki kikao cha Umoja wa Klabu za Mpira wa Miguu Afrika ACA kupitia njia ya mtandao, ambapo Rais wa CAF Patrice Motsepe alikuwa kiongozi Wa kikao hicho.
Motsepe amempongeza rais wa yanga Kwa Kazi Nzuri anayoifanya Ndani ya klabu Hiyo ikiwa Wanajangwani tayari wamefuzu Kuingia Hatua ya Makundi Kwenye mashindano ya klabu Bingwa Barani Afrika.
05/10/2023
Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Albert Chalamila Leo Akiwa Kwenye Mkutano wa Hadhara na Walimu Shule Tofautitofauti amewaasa walimu Kufanya Kazi Kwa Bidii Haswa kwani Rais wa awamu ya Sita Dkt.Samia Suluhu amewekeza Kwa asilimia nyingi Kwenye sekta ya Elimu.
“Nimewataka walimu kuchapa kazi kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt anawapenda walimu na dhamira yake inajidhihirisha wazi kutokana na uwekezaji mkubwa anaoufanya katika sekta ya elimu, k**a uboreshaji mkubwa wa miundombinu ya elimu, kupandisha mishahara, ajira kwa walimu, elimu bila malipo, mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu na sasa ameshafungua dirisha kwa wanafunzi wa astashahada nao wanayo fursa za mikopo.....”----- Albert Chalamila
Powered By
05/10/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe.Tony Blair Leo Kwenye ikulu Zanzibar.
Ambapo Mazungumzo yao yamegusia fursa katika uchumi wa buluu ikiwemo sekta ya utalii wa fukwe, urithi ,michezo, mikutano , pamoja na uwekezaji, bandari, biashara, teknolojia, mafuta na gesi,huduma za kijamii ikiwemo afya, elimu , na mafunzo ya kujenga uwezo.
Powered By .mwanza.tz
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Mwanza