Click The Hope

Click The Hope

Share

20/07/2022

Sikia habari za mwandishi ambaye wakati wa uhai wake aliandika zaidi ya makala 5,000 na vitabu 40. Mwanamke aliyeishi katika karne ya kumi na tisa ambaye maandishi yake bado yanaleta mapinduzi ya kimaisha, kifikra na kiroho kwa mamilioni ya watu duniani kote hadi hivi leo.

Karibu kwenye Nasaha za Kalamu Iliyovuviwa, mfululizo wa nukuu za Ellen G. White katika mfumo wa video kutoka UDOM West Social SDA ๐Ÿ˜‡.
Jiandae kuguswa, kufurahishwa, kubarikiwa, na kubadilishwa, Amen๐Ÿ™.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Pasiansi
Mwanza

Opening Hours

08:00 - 18:00