Jembefmtz

Jembefmtz

Share

Photos from Jembefmtz's post 02/06/2026
Photos from Jembefmtz's post 02/06/2026

MWANZA K**A MOROCCO TU 🤩

Hali ilivyo muda huu hapa
Mwanza na Serengeti Boys 2026


📸

Photos from Jembefmtz's post 02/06/2026

wa kisiasa nchini Senegal umezidi kushika kasi baada ya Rais Bassirou Diomaye Faye kumfuta kazi Waziri Mkuu Ousmane Sonko, hatua iliyofuatiwa na Sonko kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge mnamo Mei 26, 2026.

Hali hii imesababisha mgawanyiko mkubwa wa kimaslahi ndani ya serikali, huku upinzani ukipinga uhalali wa mchakato huo wa uteuzi wa Sonko k**a kashfa ya kisiasa.

Follow Us On Social Media
‎Instagram -
‎Facebook -
‎X(Twitter) -
‎TikTok -
‎Thread -




Want your business to be the top-listed Media Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Jembe FM/Makongoro Road/Makongoro Street
Mwanza
255