RAMMY MEDIA

RAMMY MEDIA

Share

18/08/2025

Hebu tuzijadili fast and furious kidogo , ni muvi popular ambazo najua karibu wote k**a si wote kabisa tunazijua .
Hakuna anayepinga kwamba hizi muvi zina action za kibunifu sana haswa ktk ishu za vyombo vya moto haswa magari ila changamoto zake sijui k**a hata nyinyi mnaliona au mnaangalia tu ilimrad

Ya kwanza ndo muvi ambazo mastaa hawafi toka imeanza part one mpaka leo zaid ya kufake kifo tu 🤣mfano demu wa vin dieasel , han na demu wake pia , mr nobody na wengine na wengine nimesahau ambao tulijua wamekufa ila wakaja kuonekana tena .
Si ajabu hata john cena na kina tyrese ukawaona tena ktk hii ijayo wakati tumeshuhudia wanakula chuma .

Pili ndo muvi ambazo maadui wanageuka kuwa mastaa so technically ni k**a hazinaga adui 🤣mfano jason na mdogo wake , john cena , hata demu wa vin diesel alikua adui k**a kumbukumbu zangu hazikosei ktk muvi za awali , na wengine nimesahau .

Tatu tukija kwa bwana mkubwa mwenyewe vin yaani yeye kakutatana na ajali 1999.99999999999999 lakini sikumbuki k**a aliwahi kuwekwa hata ogo , utadhani kijukuu cha mtume 🤣🤣kusema yeye ni robot ama 😄

Wanatuonaje hawa jamaa kwan!!!? Action sawa tunaenjoy mpaka tumezoea ss ila watuwekee uhalisia hata asilimia 0.5 inatosha 😁

18/08/2025

Mbosso kamjibu Diamond 😄😄

23/01/2025

Justin Bieber na mke wake Hailey wameachana baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa kipindi cha miaka saba , Hailey ameweka wazi kuwa Bieber hasomeki ana tabia ya kuripuka ovyo kutokana na mambo aliyoyapolitia utotoni

Justin bieber amemuachia Hailey na mtoto kwenye jumba lake la kifahari kwa usalama zaidi

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Mwanza