Maswa Digital Network
26/05/2022
TENGENEZA PESA NA idea debater 2022๐น๐ฟ
๐๐
https://m.ideadebater.com/mobile/ #/shareRegister?userId=HysA4rGA
IDEA DEBATOR INVESTMENT
๐Idea debater Ni platform iliyoanzishwa mwaka 2016 marekani ๐ฑ๐ท na Tanzania๐น๐ฟ imeingiaa hivi Karibuni.
๐ Kuna makampuni K**a
Amazon,eBay,shopee na Lazada yanayofanya biashara za bidhaa mbalimbali na hata kutangaza mitandaoni.
๐Unapataje kipato na kwanini uwekeze pesa yako kwenye hii platform?
Unawekeza pesa yako katika hizo kampuni K**a uhisani halafu unapewa gawio(interest) kutokana na kiasi ulichowekeza
Pia Kutokana na Level
MFANO
UKIWEKA :
๐ฐ10000 Tsh unapata 500 Tsh Kila siku
๐ฐ 20000 Tsh unapata 1000 Tsh KILA siku
๐ฐ30000 Tsh unapata 1500 Tsh KILA siku
๐ฐ40000 Tsh unapata 2000 Tsh Kila siku
๐ฐ50000 Tsh unapata 2500 Tsh Kila siku
๐ฐ60000 Tsh unapata 3000 Tsh KILA siku
๐ฐ70000 Tsh unapata 3500 Tsh Kila siku
๐ฐ80000 Tsh unapata 4000 KILA siku
๐ฐ90000 Tsh unapata 4500 Tsh KILA siku
๐ฐ100000 Tsh unapata 5000 Tsh Kila siku
21/03/2021
Dar es Salaam. Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.
Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.
Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita.
21/03/2021
MSANII mkongwe wa muziki wa dansi nchini Nguza Viking โBabu Seyaโ amesema mshtuko mkubwa aliopata kufuatia kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli pengine watu wangesikia na yeye amefariki.
Babu Seya ni miongoni mwa wafungwa waliookolewa na Magufuli kutoka kwenye kifungo cha maisha jela na mtoto wake Papii Kocha na kuachwa kuwa huru Desemba mwaka 2017.
Akizunguza Dar es Salaam jana, nyota huyo alisema โbaada ya mtoto wangu kunipigia simu kunipa taarifa za msiba wa Rais Magufuli nilipata mshtuko mngenisikia na mimi nimeondoka.โ
Alisema taarifa hizo zilisababisha yeye kukosa usingizi akitafakari matendo mema aliyomfanyia rais huyo enzi za uhai wake.
Nyota huyo aliwahimiza watanzania kutoogopa juu ya kilichotokea akiamini bado kiongozi yupo nao kiroho.
Magufuli alifariki dunia Jumatano ya wiki hii kutokana na tatizo la moyo.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mwanza