Middlecharz Sports INFO

Middlecharz Sports INFO

Share

04/10/2022

"... Issue sio mashabiki kwenda kwa wingi uwanjani dhidi ya Al Hilal...issue ni kwamba watashangilia kwa nguvu kwa dakika zote? Watawafanya wageni wajione wapo katika mazingira magumu??....maana sisi tuna tabia ya kushangilia tobo na chenga kisha tunakaa chini tunasubiri bao. Baadaye tunapiga kelele za kutaka kocha afanye sub.....wenzetu nje huko wanashangilia dakika zote hata k**a mgeni kapata bao la kuongoza.....nimewahi kuona hapa Mazembe na Al Ahly wakija na fans wachache lakini wanauteka uwanja mzima wa Taifa"

🔎Edo Kumwembe

04/10/2022

BADO SIKU 5.
De Agosto Vs.Simba 🦁

Mara ya mwisho Primeiro De Agosto kuingia makundi ya Champions league ilikuwa ni msimu wa mwaka 2019/20.

✍️Walipangwa kundi moja na Mazembe, Zamalek na Zesco Utd na walifanikiwa kushika nafasi ya tatu baada ya kufikisha alama 4.


Follow,Share pia page ipate wafuasi wengi na izidi kukua👇👇👇

Middlecharz Sports INFO

30/09/2022

Timu ya leo imeingia mkataba na Kampuni ya Watercom k**a mdhamini/mshirika wetu kupitia kinywaji chao cha Jembe Energy kwa kipindi cha mwaka mmoja.

"Leo ni siku muhimu sana kwetu kwenye maendeleo ya mpira. Ninajivunia kuona nasaini mkataba mpya kwa niaba ya Klabu. Hii ni hatua kubwa sana na inaonesha kwa jinsi gani klabu hii imejipanga kuboresha masuala ya kiuchumi” Andre Mtine Mtendaji mkuu Young Africans SC

✍️Middlecharz Sports INFO

30/09/2022

TAARIFA KUHUSU SHINOBU SAKAI (MJAPANI)WA GEITA GOLD.

🗣Ni kweli ni mchezaji wetu halali na yuko fiti kwa asilimia zote kucheza mechi zetu dhidi ya timu yoyote katika mashindano yoyote tutakayoshiriki msimu huu ukiacha shirikisho ambapo tumetolewa katika hatua ya awali.

🗣Kikwazo kikuu kipo katika vibali vinavyoweza kumruhusu kufanya kazi hapa nchini katika klabu yetu ya Geita bado ni swala lenye changamoto na tunalifatilia kwa ukaribu zaidi ili tuweze kulifanikisha na aanze majukumu ya kutumikia mkataba wake ndo maana anafanya mazoezi ili awe fiti kimwili.

🔎Afisa habari wa Geita gold akihojiwa na mwandishi wa habari.

Middlecharz Sports INFO

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mwanza