First care Tz

First care Tz

Share

07/04/2022
29/11/2019

Tagi mshikaji wako ambaye iliaweze kupunguza uzito lazima awe na mwalimu k**a huyu 😁😁😁

Photos 29/11/2019

Utawala mpya wa Sudan umeamuru kuwa chama cha kiongozi wa kiimla aliyeondolewa madarakani Omar al-Bashir kivunjwe na utawala wake "usambaratishwe", ukiitikia mwito wa waandamanaji ambao kampeni yao ilisababisha kuangushwa kwa kiongozi hiyo.

Bashir na chama chake cha National Congress - NCP aliiongoza nchi hiyo ya Afrika Kaskazini tangu mwaka wa 1989 kabla ya vuguvugu la maandamano ya kitaifa kumuondoa madarakani mapema mwaka huu.

Baraza jipya la uongozi nchini humo na baraza la mawaziri likiongozwa na Waziri Mkuu Abdalla Hamdok limefanya uamuzi wa kukivunja chama, kwa kuidhinisha sheria iliyoitwa "kuusambaratisha utawala wa Juni 30 1989."

Amesema k**ati itaundwa ili kuk**ata mali zote za chama hicho. Waziri Mkuu huyo amesema hatua hiyo sio kulipiza kisasi dhidi ya watawala wa zamani wa nchi hiyo, bali ni kudumisha hadhi ya watu wa Sudan ambayo ilichafuliwa na watu wasio wakweli.

Want your school to be the top-listed School/college in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mwanza