AFYA KWA AKINA MAMA

AFYA KWA AKINA MAMA

Share

26/04/2023

NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID.*
*PID* Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza *Pelvic Inflammatory Disease ( PID).*

P.I.D Ni maambukizi au uvimbe katika via vya uzazi.

*Chanzo Cha PID* Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- . .

?Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, .
kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote wazuri ,Na wabaya hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. .

? Kadhalika ujauzito kuharibika ikiwa ni pamoja na kujifungua na kuachwa bila kusafishwa .

? Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms( kwa baadhi ya watu) na kufanya ngono zembe. . Hapa baada ya tendo la ndoa kwa baadhi ya wanawake huwa wanapata shida na mafuta ya condom . Hivyo wanapaswa kujisafisha sana .

? Pia *hormonal imbalance* ni chanzo moja wapo baada ya kusababisha uvimbe

*Dalili Za Ugonjwa Wa PID*

1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa .
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri . .
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya .
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu .
5️⃣Uke kuwa laini sana hivyo Kupata michubuko kiurahisi wakati wa tendo la ndoa .
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa .
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi .
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi .
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa .
?Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

*Madhara Ya PID* •Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

PID inatibika na kupona Kwa haraka ukipata tiba sahihi na Ukifuata dose sahihi
*Mwanamke Ni Bora ukawa na shida nyingine yoyote Ila so PID* hii inauwezo wa kukuharibia maisha Yako kwa haraka sana.. Hivyo Ni Muhimu kutafuta suluhisho kwa haraka

Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Nyegezi
Mwanza