Chai dada
23/10/2024
Kivumbasi (Holy Basil )
Huu ni mmea mzur na wenye baraka nying sana ni mmea ambao umepewa sifa nying sana tena sana za kuweza kumsaidia mwanaadamu kujitibu magonjwa mbali mbali .
Kivumbas nadhan wengi mnaujua na unasifa zingine kwenye ulimwengu ule mwingine nasikia lakin 🥲🥲🥲
Huu mmea una sifa za kutatua matatizo au magonjwa mengi sana yakiwemo haya :
✅️ Shida ya kupumua
✅️ Shida ya shinikizo la juu la damu (BP)
✅️ Inapunguza homa kwa kias kikubwa sana
✅️ Inapunguza kias kikubwa cha msongo wa mawazo
✅️ Tiba safi ya kinywa
✅️ Inatibu tatzo la mawe kwenye figo
✅️ Inatunza ngoz yako kwa asilimia 100
Huu mmea ukiuona mahal usiukate zaid umwagie maji upate kumea zaid na zaid
Huu mmea utapaswa kuchukua kwa kias chake kisha utachemsha na kunywa
Kikombe kimoja asubuh na jion kwa muda wa sku 14 mpaka 21
Wajawazito kaen mbal na huu mmea 🥲🥲🥲
NB: K**a huna Nyegez jitahid kumaliza maden ya watu mpendwa wangu wew wala hujarogwa 😁😁
Dr Jimmy
0620165254
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mwanza
33000
01/11/2024
24/10/2024