FAPRO NGO's

FAPRO NGO's

Share

10/06/2024

Katika shida zangu nalikuita ee mungu nawe uliisikia sauti yangu.
JOATEC TANZANIA imerudi katika hali ya kawaida.
kwa sasa iko salama.
kwa wale waliopata text ambazo ziliwaletea mkanganyiko niombe radhi kwa sababu ya wahuni wa mtandaoni kujaribu kuidukua account.
mwendo ni ule ule elimu mbalimbali za kilimo zinaendelea kuanzia leo usiku.
karibu sana ujipatie maarifa.😊😊💪✍️🧠🧠

17/05/2022

Kilimo chetu kimetawaliwa na siasa, ujuaji mwingi wa kalamu kivitendo hawawezi. Mkulima gundua mbinu bunifu za kuweza kukupatia unafuu kwenye kilimo. Tuko karibu yako katika huduma ya ushauri wa kitaalamu wa nin cha kufanya kufikia malengo yako. Tuandikie unakumbwa na changamoto gani nami nitakupa muongozo wa kukusaidia.
Mimi ni mkulima.

Want your business to be the top-listed Business in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Ushirika
Moshi