Hotel Field Practical Agent
22/08/2024
Nafasi ya kazi za sector za hotel
1. Mpishi wa k**e 1
2. wahudumu wa k**e 3
3 . mhudumu wa kiume1
Mwisho wa maombi 23/8/24
Piga no 0757248883
Vigezo
Uwe na uzoefu wa kazi za hotel
Uwe una jua kusoma na kuandika
Mwenye afya imara, mwaminifu na mchapakazi
Uwe na mdhamini
Uwe na ada ya wakala kiasi utaelezwa baada ya kupiga simu
Wahi Sasa
03/12/2022
25/04/2020
Habari ,,je unandoto ya kujiajili au kuajiliwa,, Hotel Field Practical Agent ,,wanatimiza ndoto yako kwa kukupatia mafunzo ya Vitendo na Nazaria ya muda Mrefu na mfupi Kupitia darasa huru kwa Kipindi hiki cha Mpito...jifunze mapishi,, uhudumu hotelini,, mapokezi,, Mapambo na mwingne vingi...,, gharama ni Nafuu Sana. Wasiliana nasi Kupitia +255757248883 /+255653824544 ,au barua Pepe [email protected]
12/02/2020
Unakiu ya kujua namna Nzur ya utoaji wa huduma ya chakula Na vinywaji hotelin? Njoo Hotel Field Practical Agent,,tunakata Kiu yako kwa Gharama Nafuu mno..wengi wanafulahia huduma Zetu wewe unasubir nini...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
P. O. Box 129 Moshi
Moshi
8899