MukoAgro
14/08/2021
Nyanya Aina ya TO 135 hufanya vzr ewe mkulima sh*tuka upate mavuno meng kwa muda mrefu
20/09/2019
The team
10/08/2018
Habari wadau Malaria imekua janga kubwa sana kwa watoto walio chini ya miaka mitano pamoja na watu wazima.
Leo nitazungumzia namna na njia rahisi ya kufukuza mmbu ndani au karibu na wewe.
Ni njia rahisi kabisa ambayo itakuepusha na gharama kubwa unazotumia kununua dawa hizi za kupuliza na nyinginezo.
Ukifanya hivi na ukiwaelimisha wengine utaisaidia jamiii kuepukana na Malaria na kupunguza vifo vitokanavyo na malaria.
Mimi natumia njia hii rahisi na kwa gharama nafuu, Asubuhi Narudisha kwenye fridge muda wa mmbu jioni natoa na kuweka mahali husika.
MAHITAJI;
1. LIMAO/NDIMU..
2. KARAFUU...
3. Kisu
MAELEKEZO
1. KATA LIMAO NUSU/ KATIKATI
2. CHUKUA KARAFUU KISHA CHOMEKA KWENYE LIMAO K**A PICHA ZINAVYO ONEKANA.
3. WEKA DIRISHANI/PEMBENI MWA KITANDA/CHUMBANI/CHOONI AU POPOTE PALE AMBAPO UTAPENDA KUFUKUZA MMBU.
4. ENDELA NA ZOEZI MARA KWA MARA.
NB; LIMAO LINAKAA MUDA MREFU KULIKO NDIMU. BINAFSI HUA NAPENDELEA LIMAO.
NO. 2
Njia ya nyingine ambayo ni Rahisi pia
MAHITAJI;
1. KARAFUU
2. KONYAGI/SPIRIT/TEQUILA/VINEGAR NA NYINGINEZO ZENYE TABIA YA ALCOHOL.
3. CHUPA YA KUPULIZIA/ AU YA KUHIFADHI
4. MAFUTA YA N**I/LOTION NYEPESI SANA.
MAELEKEZO;
1. WEKA KONYAGI/SPIRIT KWENYE CHOMBO, LOWEKA KARAFUU KWENYE KONYAGI/SPIRIT
2. KOROGA HUO MCHANGANYO KWA SIKU NNE. KILA SIKU ASUBUHI NA JIONI.
3. BAADA YA SIKU NNE WEKA HUO MCHUZI WA KONYAGI/ SPIRIT KWENYE CHUPA / CHOMBO KITACHOKUFAAA .
4. CHANGANYA MAFUTA YA N**I AU LOTION NYEPESI. TINGISHA TINGISHA TINGISHA VIZURI.
5. DAWA YAKO IKO TAYARI KWA MATUMIZI PULIZA KWENYE NGUO/ PAKA KWENYE NGOZI.
SHARE NA WENGINE.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Moshi