Highbrow OPEN School
17/01/2022
Je, umefeli Darasa la Saba? Kidato cha Nne?
Au umeshindwa kumaliza elimu ya Msingi au Sekondary kutokana na Sababu Mbalimbali?
Na unatamani Kupata elimu ya secondary na kufaulu vizuri.
HIGHBROW OPEN SCHOOL
Iliopo MOSHI, MAJENGO K.K.K.T ni Jibu la matamanio yako.
Inatoa Huduma zifuatazo;
• Resitters (wanao rudia mtihani wa kidato cha nne)
• QT (masomo ya secondary kwa miaka miwili (2)
• Tuition kwa Form I hadi Form VI (Science & Arts)
Kwa Maelezo Zaidi piga simu namba 0762 090 097 au 0623 956 884.
Kwa watakao soma Highbrow Open School watapata fursa za kupangwa shule za serikali kwa kidato cha TANO au vyuo vya Kati vya serikali.
Hostel zinapatikana kwa watokao Mbali / wanaohitaji.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
P. O BOX 8507
Moshi
25104