AfyaTech
Tunakurudishia amani: Tunakusadia kuboresha afya yako kupitia teknolojia kwa kukuelimisha, kukusaidia kuchukua hatua sahihi kuwa mstari wa mbele kuboresha afya yako mwenyewe!
06/07/2025
πΈ Fahamu Mzunguko Wako kwa Usahihi β Kwa Afya Njema na Maamuzi Sahihi
K**a mwanamke, kuelewa mzunguko wako wa hedhi ni zaidi ya kupanga ujauzito. Ni hatua muhimu kuelekea afya bora ya uzazi na mwili kwa ujumla.
AfyaPlan App inakusaidia:
β
Kutunza kumbukumbu za siku zako kwa urahisi
β
Kukadiria siku za hatari na zinazofaa kwa ujauzito
β
Kupata tafsiri ya mabadiliko ya mzunguko wako
β
Kupokea ushauri kuhusu lishe, dalili na afya ya uzazi
π± Usiishi kwa kubahatisha. Fahamu mwili wako!
β‘οΈ Pakua sasa AfyaPlan:
π https://play.google.com/store/apps/details?id=com.afyaplan.afyaplans
https://youtube.com/shorts/vAufXJtArvg?si=2Lo4PhNvjRA2Q_DR
Mzunguko wa Hedhi AfyaPlan App πΈ Fahamu mzunguko wako wa hedhi kwa usahihi!Badala ya kubahatisha, tumia AfyaPlan App kuandika tarehe zako, kukadiria siku za hatari, na kupata ushauri kuhu...
05/07/2024
Kufahamu tarehe za kupata (siku hatari), tarehe za kujifungua, na kupanga lini ubebe mimba ili ujifungue majira unayohitaji yote yanawezekana.
AFYATech imekuletea kikokotoo kitakachokuwezesha yote haya!
Fahamu zaidi: https://afyatechtz.com/jinsi-ya-kufahamu-tarehe-ya-kujifungua-kwa-urahisi/
Panga uzazi tumia afyatech kalkuleta Je, unatafuta njia rahisi na ya kuaminika ya kupanga uzazi? Kufahamu tarehe zote muhimu za uzazi?Jinsi ya kufahamu Tarehe za kujifungua, Tarehe za hatari, ku...
01/07/2024
Je, umewahi kushiriki katika programu yoyote ya elimu kuhusu kisukari? Kujua zaidi kuhusu hali yako ya kiafya kunaweza kubadili maisha yako! π
Wengine wanaweza kufikiri kuwa wanajua vya kutosha kuhusu kisukari na hawahitaji kushiriki katika programu hizi.
Lakini ukweli ni kwamba, maarifa na mbinu za kisasa kutoka kwa wataalamu wa afya ni muhimu sana katika kudhibiti kisukari. π‘
Jiunge na programu yetu ya elimu kuhusu kisukari na uanze safari yako ya kuelekea afya bora.
Pata maarifa sahihi na msaada unaohitaji ili kudhibiti kisukari kwa ufanisi zaidi. πΏ
π https://afyatechtz.com/kisukari/
Kisukari - AFYATech Utafahamu kisukari husababishwa na nini
07/06/2024
Ni rahisi kudhibiti presha kwa vyakula ila unahitaji maarifa mahususi.
Ndiyo maana, wagonjwa wengi, wanashindwa kudhibiti presha kwa kufuata tu ushauri wa kula vyakula fulani.
Hii ni kwa sababu kufahamu vyakula tu haitoshi; ni muhimu pia kufahamu aina, kiasi, na namna ya kuchanganya vyakula hivyo.
Kwa mfano unahitajika kupunguza vyakula vyenye viwango vikubwa vya sodiam huku ukiongeza vyakula vyenye viwango vikubwa vya Potashiam.
β
Dhibiti leo presha na kisukari. Tunakuwezesha kudhibiti presha na kisukari kwa weekend hii kwa kukupatia kitabu cha kisukari na presha kwa TSh. 49,000/=
β
Kitabu: Dhibiti presha - kula hivi ni TSh. 29,000/=
β
Kitabu: Dhibiti kisukari huku ukifurahia vyakula uvipendavyo - TSh. 29,900/=
πΉ Vitabu vyote viwili: TSh. 44,900/=
Anza sasa safari ya kudhibiti Presha na au Kisukari. Offer hii isikupite
https://afyatechtz.com/kitabu-cha-presha-ya-kupanda/
Tuandikie comment ukihitaji.
Ishinde Presha - Kula Hivi: Kitabu cha Presha ya kupanda - AFYATech Ishinde Presha: Kula Hivi Je, unatafuta njia bora ya kudhibiti shinikizo la damu? βIshinde Presha: Kula Hiviβ ni kitabu chenye suluhisho! Maelezo ya Kitabu Ishinde Presha: Kula Hivi ni kitabu cha presha ya kupanda kinachokupa mwongozo wa kina kuhusu jinsi ya kudhibiti shinikizo la damu kwa kutum...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Website
Address
Bondeni
Moshi
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
06/11/2025