Denis digital
30/09/2022
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro, amekutana na kundi la wazee kutoka wilayani humo, ikiwa ni siku moja kabla ya maadhimisho ya siku ya wazee Duniani ambayo kimkoa itafanyika katika wilaya ya Ikungi.
Dc Muro amewahakikisha wazee hao kuwa serikali itaendelea kuondoa kero na changamoto zinazowakumba, ikiwemo kuweka mfumo endelevu wa kuhakikisha mabaraza ya wazee kuanzia ngazi ya wilaya, kata na vijijini yanafanya kazi ipasavyo, hatua itakayowawezesha wazee kutatua changamoto ndogondogo zinazowakabili wakati serikali ikiendelea kutatua kero mtambuka za wazee .
Cc,
SIMANZI: 😭😭😭 Tazama anachokifanya Mkuu wa wilaya ya , Mama afunguka mwanzo mwisho kuhusu Mtoto wake kupata ulemavu na kupewa ujauzito.
09/09/2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan@samia_suluhu_hassan ametangaza siku tano za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Hayati Elizabeth aliyekuwa Malkia wa uingereza 🇬🇧 kilichotokea septemba 8.
Cc,
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Moshi