KUKUSHOP
13/02/2026
Raha ya biryani ule siku ya Ijumaa🤩
Interchick tunahakikisha unapata nyama bora ya kuku na HALAL kwenye KukuShop yetu ili kuboresha mapishi yako.​
Tembelea KukuShop yetu au Supermarket iliyopo karibu nawe ujipatie paketi yako leo kuanzia ujazo wa 1kg hadi 1.5kg.​
📞 Kwa maelezo zaidi tupigie, +255 65 944 1599
​
​
​
11/02/2026
Karibu ujipatie Choma Sausages!
20/01/2026
Chicken Viennas inarahisisha maandalizi ya kifungua kinywa cha mwanao, kwa kuwa tayari zimepikwa na zina kiwango kikubwa cha protini, kumpa mwanao nguvu na uchangamfu wa akili darasani.
Jipatie paketi yako katika Kukushop yetu, Supermarket au Mini- Supermarkets.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie, +255 65 944 1599
16/01/2026
Kila mlo unakuwa na ladha ya kipekee unapotumia minofu ya nyama ya kuku kutoka Interchick.
Breast boneless zinapatikana Kukushop, pamoja na Supermarkets Moshi mjini.
📞 +255 65 944 1599
06/01/2026
Hungarian Choma Sausage zina viungo na pilipili ya kutosha inayokupa utamu wa kusimulia.
Jinyakulie paketi yako sasa, sikia kwanza mnuso alafu tupe repoti ya utamu wake.
Bidhaa zetu zinapatikana kwenye Kukushop
Tembelea Kukushop yetu au wasiliana nasi kupitia +255 65 944 1599
Pishi letu la Wings tumetumia Ingredients zifuatazo;
1. Peri peri
2. Garlic powder
3. Black pepper
4. Cumin powder
5. Onion powder
Interchick wameboresha paketi ya wings sasa unaweza kununua na kupika idadi ya vipande unavyohitaji bila kuyeyusha paketi nzima.
Tembelea Kukushop yao leo iliyopo karibu yako ujipatie bidhaa zao katika msimu huu wa sikukuu.
Kwa mawasiliano zaidi wapigie, +255 65 944 1599
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Aga Khan Rd, Rindi Lane Street
Moshi
7304
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 20:00 |
| Tuesday | 08:00 - 20:00 |
| Wednesday | 08:00 - 20:00 |
| Thursday | 08:00 - 20:00 |
| Friday | 08:00 - 20:00 |
| Saturday | 08:00 - 20:00 |
| Sunday | 09:00 - 18:00 |