Mr-adventure
19/11/2022
Hii ndio hifadhi iliyo ndogo kuliko zote nchini Tanzania na Afrika ya mashariki.Jina la hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha saa Nane kinachopatikana katika ziwa Victoria katika mkoa wa Mwanza kimetokana na mtanzania aliyekuwa mvuvi na mmiliki wa kisiwa hiki aliyejulikana k**a Mzee saa Nane Chawandi ambaye aliachia eneo hili la kisiwa kwa serikali ya Tanzania baada ya yeye mzee saa Nane Chawandi kufidiwa gharama za eneo lake na serikali katika miaka ya 1960.
Mara moja serikali ya Tanzania ikalianzisha eneo hili la kisiwa k**a bustani ya Wanyamapori ya kwanza kabisa nchini Tanzania katika mwaka wa 1964.Malengo ya serikali ya wakati wa kipindi kile ilikuwa ni kuendeleza uhifadhi endelevu wa eneo lenyewe pamoja na kuhamasisha na kuelimisha elimu ya utalii na mazingira kwa watanzania wenyewe na wageni kutoka nje ya nchi lakini vilevile ilikuwa na kutoa burudani kwa wakazi wa mji na mkoa wa mwanza na sehemu nyinginezo za mbali.
24/10/2022
Tanzania-safariadventureTanzania-safariadventureTanzania-safariadventure
25/09/2022
-safariadventure
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Address
Moshi