Cetosude
Community Empowerment Towards Sustainable delevopment is non profitable organization which Registerd to operety in Tanzania main land ,with the aims of empower community in various aspect .
03/08/2025
Leo tumefanya kikao muhimu na wafugaji wa ng’ombe wa maziwa kwa lengo la kusikiliza mahitaji na changamoto zao k**a sehemu ya maandalizi ya Mpango Kazi wa Mradi wa FA2T.
🤝 Ushirikiano huu ni hatua ya kuhakikisha kuwa shughuli za mradi zinaendana na uhalisia wa jamii husika – tukijenga msingi imara wa maendeleo ya kweli kupitia kilimo na ufugaji bora.
Tunaendelea kujifunza, kushirikiana, na KUTENDA kwa pamoja kwa maendeleo endelevu ya wafugaji na jamii yetu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Website
Address
Sabasaba Soweto
Moshi