Simama CBR

Simama CBR

Share

Simama CBR Mbeya is a Community Based Rehabilitation Program implemented by Caritas and the Italian NGO Cesc Project. Area of intervention is Mbeya Region. Aim of the Program is to provide high quality rehabilitation services for people living with disabilities. Simama Cbr also implements school inclusion activities, awareness raising on disability for community members and training for parents o

31/12/2022

Wakati mwaka 2022 umefika mwisho, shughuli katika vituo vya utengamao wa mradi wa Simama bado hazijaisha, kwa ahadi zilizotolewa kwa 2023 ni nyingi.
Tuko tayari kuanza mwaka mpya kwa miradi mingi na mipango tofauti.
Tunatazamia kuutumia mwaka mpya pamoja.

ʜᴇʀɪ ʏᴀ ᴍᴡᴀᴋᴀ ᴍᴘʏᴀ.

While 2022 has come to an end, the activities in the rehabilitation centers of the Simama project are not over, in fact the commitments made for 2023 are many.
We are ready to start a whole new year with lots of projects and different initiatives.
We look forward to spending a new year together.

ℋ𝒶𝓅𝓅𝓎 𝒩𝑒𝓌 𝒴𝑒𝒶𝓇.

#2023

Photos from Simama CBR's post 19/05/2022

Zaidi ya shughuli za majumbani, tuna mipango ya kutembelea watoto nyumbani kwa lengo la kufahamu mazingira anayoishi mtoto na kufahamu wana familia,Pia tunafanya kazi kwa kufuatilia watoto ambao wana muda mrefu hawajafika mazoezi,kujua changamoto wanazopitia.

In our activities, we plan to visit children at home with the aim of understanding the child's environment and getting to know family members.
We also work to monitor children who have not been to the centers for a long time, knowing the challenges they are going through.

Photos from Simama CBR's post 08/05/2022

"𝐍𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐚"!
Leo ni siku muhimu kwa kila mama, kila mwaka tarehe 8 mwezi wa nne tuna adhimisha siku ya Mama duniani. SIMAMA CBR tunaungana kwa pamoja na wa mama wote na familia yake katika kusherekea siku hii pendwa.

Asanteni mama, tunawapenda sana!

"𝗡𝗼𝗯𝗼𝗱𝘆 𝗹𝗶𝗸𝗲 𝗠𝗼𝗺"!
Today is an important day for all the mothers, every year on May 8th we celebrate the International Mothers Day!
SIMAMA CBR joins all mothers and their families to celebrate this beloved day.

Thank you Mothers we love you so much!

26/04/2022

Leo ni siku muhimu kwa taifa letu,SIMAMA CBR tunaungana na watanzania wote katika kuadhimisha muungano wetu kati ya Tanganyika na Zanzibar.

Today is an important day for Tanzania! SIMAMA CBR joins all Tanzanians in celebrating our union between Tanganyika and Zanzibar.

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Mbeya