USCF UDSM MCHAS
Hallelujah men of God!
Be happy because, God answers our prayers!
HEKIMA YA LEO
13/04/2017
UMEAMINIWA NAWE JIAMINI (4)
Aliyekupa Hilo Wazo Amekuamini
- Mawazo huwa hayatoki katika nchi ya kusadikika, mawazo yana chanzo chake.
- Ukiona unapata wazo la kufanya kitu chema kwa ajili ya Mungu, watu, jamii na hata kwa ajili yako, ni kwa sababu Mungu Amekuamini na kukupa wazo hilo.
- Mungu ana ujasiri nawe kwamba una kila kinachohitajika ili kulifanya wazo hilo lizae matunda.
- Usijione k**a ni mdogo sana kwa wazo hilo au wazo ni dogo sana kwako, amua kulitendea kazi kwa sababu Mungu Amekuamini kwamba hutolipuuzia.
- Mungu Amekuamini kwa kukupa hilo wazo, nawe jiamini kwa kulitendea kazi.
TENDEA KAZI WAZO!
_For Me, My Future & My World!_
Bro. Emmanuel Mahenge
0714 530 295
[email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mbeya