Enterpreneurs
Huwezi kujiajiri ikiwa huchukii kuajiliwaaaa!
the world is changing stop being stagnant accept changes in positive way and make more money through that changes, ni ukweli usiopingika kuwa Dunia ya jana sio dunia ya leo kadri technolojia inavo shika kasi ndivo fursa za kibiashara huongezeka, japo wapo wanao amini kuwa fursa hupungua kutokana na mabadiliko haya laa! hasha fursa hubaki pale pale ila mfumo wa namna ya kuikabili fursa ndio hubadilika kahiyo sisi wajasiliamali hatuna budi kujifunza zaidi juu ya technolojia ili tusiachwe na mabadiliko haya...change begins with youuu! let's face the digital world of bussiness
life needs sacrifice if not of time but for something you love in order to accomplish something important others must be putted aside don't afraid of losing something you love for getting another for life
kuna tofauti kubwa kati ya hivi vitu vitatu giza, mwanga na nuru
hakika huwezi kuutambua mwanga k**a hapana giza ingawa mwanga ukitawala huzaa nuru. kwahiyo mwanzo wa maisha ni giza na huwakilishwa na magumu unayo yapitia lakini fulsa unazokutana nazo kila inapoitwa leo ndio mwanga unao weza kuleta nuru yaani mafanikio katika maisha yako jambo la kuzingatia ni kuwa heshimu kila fulsa unayoipata kwani hujui kesho itakupatia nuru ya kiasi gani japo huanza k**a mwanga ulio zongwa na giza totoro
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya
123456