RhapsodyMan

RhapsodyMan

Share

Preaching the gospel using the world number one daily devotional.

Alikuja kwetu katika Roho Mtakatifu by Amedeus Live 21/02/2024

Listen to "Alikuja kwetu katika Roho Mtakatifu.mp3" from Amedeus Live on Anchor:

Alikuja kwetu katika Roho Mtakatifu by Amedeus Live Elewa muunganiko wa Bwana wetu Yesu Kristo na Roho Mtakatifu, ni muunganiko wa Ajabu na kipekee. Bwana Yesu ni mfariji aina ile ile k**a Roho Mtakatifu, hao wawili ni kitu kimoja. Roho Mtakatifu ni Baba aliyekuwa ndani ya Bwana Yesu, yeye ndiye Bwana Yesu alikuwa akishuhudia kwamba nayatenda yale ni...

Yesu Kristo - Wasifu wa Mungu by Amedeus Live 12/01/2024

Listen to the most recent episode of my podcast: Yesu Kristo - Wasifu wa Mungu https://anchor.fm/amedeuslive/episodes/Yesu-Kristo---Wasifu-wa-Mungu-e2e9t01

Inapatikana kwenye castbox, google podcast, Amazon music and Spotify.

Yesu Kristo - Wasifu wa Mungu by Amedeus Live Mgundue Bwana Yesu kwa viwango vya juu zaidi na vipya mbali zaidi ya ulivyokuwa unamdhania au kumfikiria. Yesu ndio wasifu wa halisi wa Mungu. Yesu ndiye taswira ya halisi ya Mungu Baba, ukimwona Yesu umemwona Mungu Baba. Jifunze zaidi katika rhapsodi hii ya leo, toleo ya Watu wazima. Tafakari kweli...

Kataa Vurugu na Hasira - Rhapsodi TeeVo by Amedeus Live 06/01/2024

Listen to the most recent episode of my podcast: Kataa Vurugu na Hasira - Rhapsodi TeeVo

Kataa Vurugu na Hasira - Rhapsodi TeeVo by Amedeus Live Usiruhuru Harisa wala Vurugu zikutawale. Wewe ni mwenye haki wa Mungu ndani ya Kristo Yesu.... hii ndio asili yako. Sikiliza kweli hii kutoka katika Rhapsodi ya Uhakika Teevo, kitabu mahususi kwa ajili ya Teenegers, kinachoandikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Wasiliana nasi kwa namba hizi kupata n...

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Chunya District
Mbeya