Choz Wellness Hub
12/02/2024
Ninachokifahamu kuhusu afya ya kinywa na meno.
Meno ni viungo vya mwili vilivyopo kinywani vyenye kazi ya kutafuna (kumega) chakula.
Meno hupatikana kwa vertebrate tu ( wanyama wenye uti wa mgongo)
Kazi kubwa ya meno kwa binadamu ni kumeng'enya chakula.
Mtu mzima huwa na meno 32.
Mmeng'enyo wa chakula huanzia kinywani.
Binadamu ana aina mbili za meno, meno ya utoto yanayobadilishwa wakati wa kubalehe kwa meno ya kudumu.
Kwahio kuna wakaa mbili za meno. Meno ya utoto katika wakaa ya kwanza meno huwa ni 20.
Meno yanaanza kuota mtoto anapokuwa na miezi 6.
Kawaida huwa yanakuwa yameota anapotimiza miaka miwili.
Wakaa ya pili meno yanakuwa 32. Meno haya huanza kuota umri wa miaka 6. Kukamilika umri wa miaka 18-20 ( wengine huota upesi)
AINA ZA MENO.
⭕Meno ya mbele.( Ingincisors)
Kuna meno 8 ya kukatia. Katika kila taya yapo 4
⭕Meno yanayofuatia ni machonge ( Canine teeth) Yapo machonge manne kwa ujumla katikati kila taya kuna machonge mawili. Kazi yake ni kurarua.
⭕Meno yanayofuatia hapo ni magego madogo. (Premolars) jumla yapo 8 katika kila taya yapo 4.
⭕Meno yanayofuatia ni Magego (Molars)
Magego yote ni 12. Kila taya kuna magego 6.
Kazi ya magego madogo na magego makubwa ni kusaga chakula.
Katika wakaa ya kwanza huwa hakuna magego ..
Asante kwa kuendelea kufuatilia masomo yetu, tukutane tenawakati ujao.
Kupata Elimu| Tiba ya kudumu| Dawa za meno nzuri piga/ text 0752553528
16/01/2024
JE, MENO YAKO YAMETOBOKA?
Una dhani nini kina pelekea watu wengi meno yao kutoboka??
Kwa kawaida meno huanza kutoboka taaratibu na kuendelea kutanuka hadi kufikia shimo kubwa. Kwakuwa hii process huwa haiumi pengine unaweza usichukue maamuzi ya haraka kuyatibu.
Na wakati mwingine unaweza usijue k**a una hilo tatizo.
Licha ya kwamba tayari meno yako yametoboka kuna hatua unaweza kuchukua ili kulinda meno yako mengine.
DALILI ZA MENO KUTOBOKA
✓kupata ganzi
✓ Meno kuuma
✓ Uwepo wa shimo kwenye jino
✓ Kuwepo utando mweusi kwenye meno.
CHANZO CHA MENO KUTOBOKA.
✓ Matumizi makubwa ya vyakula/ vinywaji vyenye sukari
✓ Upungufu wa vitamini kwenye lishe ( A,D, E hasa D)
✓ Upungufu wa madini k**a Calcium, Magnesium na Phosphorus.
Wasiliana nasi kupata tiba bora na ya uhakika.
__Better teeth, Better Healthy__
:
:
:
0752553528
10/01/2024
JE, UNAFAHAM MADHARA YA KUTO KUTIBU TATIZO LA MENO MAPEMA?
Tafiti zinaonyesha kuwa magonjwa mengine yanaweza kutokea kwa kutokutibu tatizo la meno.
Mara nyingi vijidudu vya jipu vya jipu huingia moja kwa moja katika njia ya damu au pengine usaha unaomezwa pamoja na vijidudu vinaweza kuanzisha ugonjwa wa kuvimba katika sehemu zingine za mwili.
Jali afya ya kinywa chako.
Let's talk about it 👇👇👇
https://chat.whatsapp.com/CRmcksbDINz21Lwb1oKGKd
Tiba Bora| ushauri| Elimu| Buree kabisa.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
P.o. Box 643
Mbeya
00000