ROCK FM RADIO

ROCK FM RADIO

Share

05/01/2025

Heri ya Mwaka mpya 2025, tunaanza mwaka na Bwana k**a ilivyo kawaida kwa kuwa na Siku 10 za Maombi, Wakati wa kipekee kusogea karibu na Mungu kuweka mipango yetu ya mwaka huu 2025 miguuni pake na kuruhusu atawale maisha yetu.

Shiriki pamoja nasi kupitia Hope channel Tanzania, AWR Tanzania na Rock FM Mbeya, kila siku saa 11.00 -01.00 Jioni.

31/12/2024

Tunakutakia baraka za BWANA kwa mwaka 2025, Asante kwa kuwa nasi, tunaendelea kukuletea kilichobora zaidi, ili kuilisha roho yako na akili yako kwa vipindi maridhawa.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mbeya