ITEZI SDA CHOIR
https://youtu.be/swEqVwxvVUI?si=nBhSskcrLoaOod-P
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
Sabato njema wana na Binti za Mungu
Pokeeni ujumbe huu kupitia wimbo wa GOLIGOTHA
Yesu alikuteswa ili tuokolewa, Ila Simoni Mkirene anatupa Funzo la Kuubeba Msalaba wa Yesu tukiwa Nyuma ya Yesu. Je unahitaji Yesu akuongoze sikiliza huu wimbo
Usisaha ku
Subscribe
Share
Like
23/12/2025
Hakika Bwana anayo yatenda kwetu ni Makuu sana. Hebu fikiria tunapo maliza Mwaka huu, Hivi Mungu amekuepusha na mangapi. Kuna walio lala mavumbini, wagonjwa na wengine wamepata vilema vya kudumu. Ila wewe ni mzima. Pata wasaa wakusikiliza huu wimbo, Toka Itezi SDA Choir. Pia Tembelea YouTube account Yetu
https://youtu.be/QM_PU4NGtj4?si=QA8ErvNTq3vhAYkW
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Karibu ku
*Like*
*Share*
*Subscribe*
Tumshukuru Mungu - Itezi Adventist Choir: Official Music Video 4K Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Mbeya