Bena Zam
13/07/2026
π¨TETESI, Klabu ya Azam imeshindwa kulipa dola 150k ili kuendelea kumtumia mshambuliaji wao Japhet Kitambala ambaye alijiunga na Azam fc kwa mkopo akitokea Maniema.
Klabu ya Maniema imeiambia uongozi wa Azam ili mshambuliaji huyo aendelee kusalia Chamazi wanatakiwa kulipa dola 150k kitu ambacho Azam wamekataa.
Hivyo kufanya dili hilo kushindikana, lakini Singida Black Stars wamejaribu kuwasiliana na kambi ya Kitambala kuona namna ya kumpata mshambuliaji huyo lakini bado kambi ya mchezaji na klabu ya Maniema haijatoa majibu yenye muelekeo.
Ikumbukwe kuwa Kitambala haukuwa usajili wa moja kwa moja ulikuwa ni wa mkopo ili k**a klabu itaridhika na huduma ya mshambuliaji huyo wafanye biashara ya moja kwa moja.
Lakini mpaka sasa matajiri wa Azam hawajaridhishwa na huduma ya mchezaji huyo ambae alijiunga na Azam dirisha kubwa la msimu uliopita.
13/07/2026
Chipukizi Vs White Star
Mwawinji Stadium
FABS TV
13/07/2026
HAWA HAPA CHIPUKIZI KUTOKA UYOLE YA KATI MBEYA
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya