JONGO TZ
22/06/2020
Msimbazi leo
17/02/2020
Galoni moja ya sumu ya nge inauzwa dola za kimarekani Mil 38 ambayo ni zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 75 (kumbuka hostel za Udsm ni BIL. 10).
Gunia mia za hawa wadudu zinatosha kabisa kupata galoni moja ya sumu.
OMBI.
kwa watu ambao mmechoka na umaskini k**a mimi ebu tujaribuni kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwazalisha hawa wadudu kwa biashara (commercially) tuweze vuta huu mpunga.
SOKO lipo na ni la uhakika kabisa hamna longolongo sijui bosi kasafiri njoo kesho.
Karibuni tuyajenge.
27/01/2020
Taarifa zinaeleza kuwa marehemu Kobe Bryant ,41, kwenye ajali ya helicopter iliyochukua uhai wake alikuwa na binti yake Gianna Maria-Onore Bryant ,13, wote ni miongoni mwa watu watano waliopoteza maisha kwenye ajali hiy
12/06/2019
Welcome Manchester United
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
UYOLE
Mbeya