Elite Innovators Club - EIC
08/01/2024
Geuza Changamoto Zako kuwa Daraja la Kupeleka Juu.
👌✌️
05/12/2023
[Namfahamu yaweza Kuwa Biashara Haikuwa Ndoto Yako!]
Ila Ikiwa Una NDOTO Kubwa huwezi acha Kufikiria kuhusu KUMILIKI BIASHARA YAKO Kwa sababu Ndo mfumo Pekee unaotengeneza Matajiri Wakubwa Duniani.
Changamoto Inakuja Nifanye BIASHARA Gani Nifanye?
Inaweza Kuwa ni Swali ambalo Umewahi Kuwa unajiuliza bila Majibu Si ndiyo?
Namfahamu Namfahamu unavyoskia Kwani Mwaka umeisha ukiwa Umejaribu Kuanza Biashara Nyingi Na zimekufa na hata uliyonayo sasa Iko Mahututi Kuelekea Kufa na Umepoteza pesa nyingi sana katika Uwekezaji!
Namfahamu Wewe ni Mama Wa Nyumbani Ambaye Unatamani Kufanya Biashara ila Imekuwa Changamoto Kwako Hujui Ufanye Biashara gani Ambayo Utafanya hata ukiwa Nyumbani.
Namfahamu wewe ni Mfanyakazi na Umetingwa na Shughuli za Ofisini Na Boss wako amekubana kweli kweli , Ila Changamoto ni KIPATO unachokipata Kwenye kazi yako A hakikidhi mahitaji Hivyo Unatafuta Biashara ya kufanya Yenye mtaji Mdogo ambayo haitaathri Majukumu Yako ila Mpaka sasa kichwa cha Moto maana hujui Ni Ipi Sahihi Kwako 🥹
Yaweza kuwa Ni Kijana Uko Chuoni / ama Mtaani tu Una NDOTO kubwa ila Hujui Ni NJIA ipi Utumie Kufikia Ulimwengu Wenye Mafanikio Uliyoyaota Siku Nyingi.
KESHO kuanzia Saa nne Asubuhi mpaka Saa Nane Katika Ghorofa la Mlimani Tower lililoko Mlimani City Dar Es salaam Tutakuwa Na SEMINAYA BIASHARA kwa wa watu Wachache wanaotamani kujiingizia PESA kwa muda wao wa ziada kwa kuanza na MTAJI mdogo .
Tutakufundisha namna ya Kujiingizia Faida zaidi ya Milioni moja kwenye Biashara yako Mpya utakayoianza.
Piga simu 0621067391/ Whatsapp wa.me/+255621067391
Kupata Mwongozo
Karibu sana , Alika Na Mwezio 😊
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Ilomba
Mbeya
3465