Dr. Soloka AFYA CLASS

Dr. Soloka AFYA CLASS

Share

07/06/2022

*TATIZO LA NGUVU ZA KIUME*
Nguvu za kiume ni nini?

Nguvu za kiume ni muunganiko wa vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo la lenyewe.

*VISABABISHI VYA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:*

1. kujichua/punyeto (ma********on);
2. kisukari,presha ya kupanda,presha ya kushuka.
3. uvutaji wa sigara
4.unywaji wa pombe
5.madawa ya kulevya 6.kufanya kazi kupita kiwango
7.kukosa muda wa kupumzika,
8.matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.
9. kutokunywa maji ya kutosha
10.kutofanya mazoezi. n.k

*DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*

1.kuwai kufika kileleni mapema sekunde chache au baada ya kuugusa tu mlango wa uke
2.uume kuwahi kulegea
3.kuhisi harufu mbaya,kichefuchefu mara baada tu ya kumwaga mbegu za kiume
4.mwili kuchoka sana baada ya tendo la ndoa huambatana na usingizi mzito,
5.kuhisi maumivu makali kwenye korodani mara baada ya kumaliza tendo la ndoa,
6. kutokuwa na hamu ya tendo mara baada ya kuanza kufanya tendo.
6.kutokuwa na hisia za kimapenzi na mwenzi wako.

*MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:*

1.kupatwa na hofu kubwa nakuogopa kukutana na mwenzi wako kwa kuogopa kuaibika.
2. Inakupelekea kubugia madawa yoyote utakaysikia kuwa yanatibu tatizo badala yake kuliongeza maradufu.
3. Msongo wa mawazo ambao utapelekea upate magonjwa mengine hatarishi. (BLOOD PRESSURE)
4. Kutokuwa na amani kwa ujumla katika maisha yako ya kimahusiano.

NIKUHAKIKISHIE KUWA TATIZO HILI LINATIBIKA KABISA

TUVYO VIRUTUBISHO TIBA AMBAVYO VITAENDA KUONDOA KABISA TATIZO ILO NDANI YA SIKU TATU KUTOKANA NA TATIZO USIKA

Bonyeza link hapa chini au piga namba hii upate msaada
*0679404716*

https://wa.me/255679404716?text=Naomba%20maelezo%20kuhusu%20Bedroom%2B%20%20Package

Want your practice to be the top-listed Clinic in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Mbeya
5022