Jensen Tv

Jensen Tv

Share

05/04/2026

Star wa muziki nchini ameweza kushirikishwa na kundi la muziki wa injili kutoka nchini Burundi 🇧🇮 .band kupitia wimbo wao wa Mimi ni Nani. Wimbo ambao hivi sasa umekuwa ukifanya vizuri kwenye majukwaa mbalimbali ya mziki na mitandao ya kijamii ikiwemo Tiktok.

Hii imekua kawaida sana kwa wasanii wa gospel kufanya remix na wasanii wa secular ikiwa ni sehemu ya kukuza na kueneza kazi kwa wafuasi wengi zaidi wa imani tofauti, tumeshuhudia wasanii wengi wakifanya hivyo na sio jambo geni wala la ajabu.

Mbosso, ame share verse yake ambayo ni rasmi ipo kwenye remix ya wimbo huo. Unampa asilimia ngapi mbosso kwenye mziki huu wa Dini?

03/04/2026

Baada ya mafanikio makubwa ya wimbo wa "Enjoy" ambao Jux alimshirikisha Diamond platinumz, wasanii hao waliendelea kufanya kazi zao binafsi hali ambayo watu wengi wakawa wanaongea kwamba huenda wasanii hao hawako sawa kwasasa.

Kupitia kipindi cha Exclusive cha Wasafi, msanii Diamond platinumz alimjibu mtangazaji Lil Ommy kwamba, kuna watu ambao walitaka kuleta mpasuko kati yake na Jux, na akasema wako sawa wala hakuna tofauti yoyote kati yao.

Sasa kuthibitisha hilo, Diamond platinumz amemshirikisha Jux kwenye wimbo wake mpya unaoitwa "Joy".

Una upa asilimia ngapi wimbo huu 10/10

Want your business to be the top-listed Media Company in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Ilomba
Mbeya