LISHE NA AFYA
23/10/2024
*🌹Haya Ndo Madhara 8 Ya Kukaa Na Uvimbe Kwenye Kizazi......*
Uvimbe una Madhara makubwa sana ukiwa nao katika kizazi
Wengi wao Huwa hawatambui Madhara yake mpaka watakapokuwa wamegundulika kuwa na Uvimbe ...
.haya ni Moja ya Madhara ya Uvimbe 👇
▶️Kuishiwa ama kupungukiwa na damu
Mara nyingi watu wenye Uvimbe kuanzia 4cm na kuendelea hukumbwa na changamoto ya kupungukiwa kwa damu ..
...kwanini ?
Uvimbe unatabia ya kufyonza damu na kuiachia na kukufanya utokwe na damu nyingi sana wakati wa period yako
▶️Kushindwa kupata Ujauzito
Wanawake wengi hushindwa kushika mimba kutokana na Uvimbe Kwenye Kizazi
▶️Kupata maumivu makali sana wakati wa period
▶️ Ikitokea umepata mimba wengi hupata mimba nje ya mfuko wa uzazi ( ectopic pregnancy)
▶️Kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
▶️ Kubleed mabonge, mfululizo na wakati mwingine damu nyeusi
▶️Unaweza kupelekea kupata saratani ya Kizazi na kutolewa Kizazi chako
▶️Huweza kupelekea Kifo endapo Uvimbe itajikita kwenye mshipa mkubwa wa damu
0764047915
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Mbeya
Mbeya