Mapambano Academy
26/05/2024
Antonym words. Darasa la Tano, sita na Saba zifaham hizi๐๐ page yetu
16/12/2022
Hatimae leo Tarehe 16/12/2022 Tumefunga rasmi program ya Pre-form one 2022.
> Uongozi Unawatakia Kila rakheri wanafunzi wote kwenye Shule mnazo elekea mkawe wanafu Bora kimasomo na kimaadili piaโ๐ฟ Tunaamini mtaenda kufanya vizuri zaidi kikubwa mkaongeze jitihada ili muwe bora zaidi.
Tanzania ๐น๐ฟ inawategemea๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
NB๐๐พ๐๐พ๐๐พ
Tunaendelea kupokea wanafunzi wa elimu ya kujitegemea
> QT
> Form 4 wanao rudia mtihani
> Pre form Five
> English Course
> Tution kwa Wanafunzi wa msingi na Sekondari.
Tupo MWANANYAMALA karibu Na Hospital (Dar Es Salaam)
Simu: 0762171912 au 0710171918 ๐๐ฟ๐๐ฟ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Mwaya-kyela
Mbeya