Doctor AFYA YA UZAZI
Hii ni page maalumu kwaajili ya afya ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke hivyo kama unatatizo lolote la kiafya basi tutafute kwa namba tulizotoa kwaajili ya ushauri, maeleze ya tatizo lako na suluhisho
06/08/2021
IMALISHA AFYA YA UZAZI, MOYO, KINGA YA MWILI, MZUNGUKO WA DAMU, NGUVU ZA KIUME & STAMINA, MISULI NA MIFUPA KWA KUTUMIAππππππ
Juisi ya ALOE VERA GEL, ARGI PLUS na MULTI - MACA.
Virutubisho vilivyotokana na Aloe Vera, Matunda ya Zabibu, Komamanga, Berries na mzizi wa Maca. Inatupatia Vitamin A, B, C, D, E & K na Madini ya Zinc, Selenium, Calcium, Iron, Copper, Magnesium, Sodium, Amino na Folic Acid.
FAIDA ZAKE KIAFYA
1.Husaidia kusafisha mfumo wa mwili kwa kutoa sumu, taka na mafuta mabaya mwilini.
2. Husaidia kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
3. Husaidia uzalishaji na ongezeko la idadi ya mbegu za kiume mwilini.
4. Husaidia kuzibua uchafu kwenye mirija ya uzazi, kuimalisha afya ya Tezi Dume na Kibofu cha mkojo.
5. Hupunguza na kuzuia kutanuka kwa Tezi na uwezekano wa kupata Saratani ( Cancer ) ya Tezi Dume.
6. Huboresha na kuimalisha afya ya Moyo, Ubongo, Misuli, Mifupa na Mzunguko wa damu.
7. Hupunguza maumivu ya mwili, Uchovu na kuupa mwili Nguvu na Stamina kwa muda mrefu.
8. Hurekebisha mfumo wa hormone na hupunguza kasi ya uzee.
Kwa ushauri na maelezo gusa link hapo chini.
https://wa.me/+255679404716?text=Naomba%20maelezo%20kuhusu%20AloeveraMacaArgi+%2B%20na%20matumizi
06/08/2021
Leo tunatoa ofa ya kukuletea popote mzigo wako kwa wateja wetu. Mpaka mlangoni kwako tunasema mlango kwa mlango
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Website
Address
5022
Mbeya