CHAZD
22/10/2025
HABARI:
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kusini, Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa mapacha wawili Daniel Stephen Seif (K***a) (24) mkulima, mkazi wa Kijiji cha Mraushi "A" Wilaya ya Masasi na Daniford Stephen Seif (24) (Doto) mkulima Mkazi wa Kijiji cha Mraushi "A" Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, kifungu cha 196 na 197 marejeo ya Mwaka 2022.
Daniel na Daniford wote kwa pamoja walitenda kosa hilo Disemba 15, 2024 katika Kijiji cha Mraushi "A" kwa kumpiga mama yao mzazi Upendo Methew (42), katika paji la uso, kwa kutumia jembe na mchi hivyo kumsababishia majeraha yaliyopelekea kifo chake.
Watiwahatiani wote wawili walikiri kutekeleza mauaji hayo ya kikatili baada ya kumtuhumu mama yao kuwa anawaroga
21/10/2025
07/10/2025
tupate wazamn kidogo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the establishment
Telephone
Website
Address
ILEMI
Mbeya