Cute

Cute

Share

08/10/2025

Mwanaume zingatia kanuni hizi

1. Usiombe wala kulilia ngono

2. Ukituma SMS moja isipojibiwa na yuko online usitume nyingine kumuuliza kwa nini hajibu

3. Usivumilie aina yoyote ya kuvunjiwa heshima. Usikae usipoheshimika wala kuthaminika

4. Jiandae na kuwa tayari kuondoka kwake pale inapobidi

5. Usimfanye huyo mwanamke kuwa kipaumbele chako

6. Jiwekee viwango (set standards)

Wanaume tunaelewana kule?

21/09/2025

Kocha Mkuu Fadlu Davids ameondoka rasmi kwenye klabu ya Simba baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gaborone United. Mchezo huo ulikuwa wa mwisho kwake akiwa kwenye benchi la ufundi la Wekundu hao wa Msimbazi.

Baada ya mchezo huo, Davids hakusafiri na kikosi kurejea nchini Tanzania, bali alielekea Johannesburg kuanza ukurasa mpya wa maisha yake ya kikazi.

Kocha huyo ameondoka pamoja na wasaidizi wake wanne muhimu:
โšฝ Msaidizi wake wa kwanza
๐Ÿงค Kocha wa magolikipa
๐Ÿ“Š Mchambuzi wa takwimu
๐Ÿ’ช Mtaalamu wa mazoezi ya mwili

Kwa sasa, majukumu ya kuongoza timu yamekabidhiwa kwa Matola na Riedoh Berdien, ambao watalisimamia benchi kuelekea mchezo wao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara dhidi ya Fountain Gate FC.

๐Ÿ‘‰ Unadhani hatua hii italeta mabadiliko gani kwenye safari ya wekundu wa Msimbazi?

Want your business to be the top-listed Clothing Store in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Culinary Team

Attire

Website

Address


Mbeya