MWL TITUS SWEBE

MWL TITUS SWEBE

Share

09/08/2025

Hii nimeipenda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

09/02/2025

WEWE UNAEMTUMAINIA BWANA
Tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina BWANA, wala hukuchoka.Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, BWANA aja kwako, naye atakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.
Ufunuo 2:3-5

12/11/2024

β€œWala usimhukumu mtumishi wako, Maana kwako hakuna aliye hai mwenye haki.”
Zaburi 143:2

31/07/2024

Japokuwa nimechoka, AHADI ZA BWANA ZINANIHUISHA TENAπŸ”₯πŸ”₯

Kwa Nini unakata tamaa???

Ufunuo wa Yohana 16:15 Tazama, naja k**a mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.”

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


ILEMI
Mbeya
6318