RTJ Consultancy

RTJ Consultancy

Share

28/03/2026

MUHIMU 🔥🔥🔥
Tangazo kutoka kwa msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO).
"Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya Sheria za Tanzania ya mwaka 2023, ikisomwa pamoja na jedwali la pili la Kanuni za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Tangazo la Serikali Na 152 ya mwaka 2004, unapaswa kuwasilisha Taarifa za Kazi za Mwaka, Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka, Kulipa Ada za Mwaka TShs. 50,000/= au Dola 100 kwa Mashirika ya Kimataifa.
Adhabu itatolewa kwa kuchelewa kuwasilisha. Lipa bili yako na uwasilishe Taarifa yako ya Mwaka kabla au ifikapo tarehe 15 Aprili mwaka huu."

Karibu RTJ Consultancy kwa huduma za usajili wa NGO, kufunga hesabu za shirika lako ili kuziwasilisha kwa mkaguzi, kuwasilisha Ritani za TRA kila mwezi na mwaka (PAYE, SDL & CORPORATE TAX) Pamoja na kuwasilisha ripoti za utendaji za kila robo na za mwaka.
Wasiliana nasi kupata ushauri juu ya uendeshaji wa NGO.
0752825904
[email protected]
(Competence, Confidentiality & Integrity)

23/07/2025

Pongezi kwa Kisiwani Orphanage Care Organization kwa kufanikiwa kupata usajili Rasmi wa NGO kupitia RTJ CONSULTANCY.
Karibu RTJ Consultancy kwa huduma za usajili wa Kampuni, jina la biashara na NGO kwa ngazi zote (Wilaya, Mkoa, Kitaifa na Kimataifa). Ulipo tupo tunakufikia na utahudumiwa. wasiliana nasi kupitia
0752825904
[email protected]
(Competence, Confidentiality & Integrity)

🇹🇿

Want your business to be the top-listed Business in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Mbeya