Gideon mtabibu
Magonjwa hatari kwa wanawake yanayo tusumbuwa kwasasa ni PID,UTI SUGU,FUNGUS na MVURUGIKO WA HOMONI ZA UZAZI
Kwa wanawake wanao tarajia kupata watoto imekuwa shida Sana kulingana na kuwa na maambukizi haya kwamda mrefu hivyo kuufanya kushindwa kubeba ujauzito kabisa au mimba kutoa kabla ya kufikisha miezi mitatu
Sababu za mvurugiko WA homoni za uzazi
Uzito mkubwa
URaji mbovu
Utumiaji wa Dawa za uzazi wampango k**a sindano kijiti na P2
ULevi
Msongo wa mawazo
DALILI ZAKE
Heddhi kubadrika badrika
Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi au baada ya hedhi
Maziwa kujaa k**a mama mjamzito,Kuhis kichefuchefu na tumbo la chini kuwa kubwa
SABABU ZA PID
Ngono zembe
Kuugua UTI SUGU mda mrefu
Kujisafisha kutumia sabun sehem za siri,kutumia mate wakati wa tendo la ndoa
DALILI ZAKE
Kutokwa uchafu sehem za siri na tumbo la chini kuuma na huuma wakati wa tendo la ndoa
Kuwa mkavu sehem za siri wakati wa tendo la ndoa
Sababu za UTI
kutumia vyoo vichafu
Kutokunywq maji ya kutosha
Kusafisha sehem za siri kwa kutumia sababu zenye kemikali
Pia huambukizwa kwa njia ya kujamiana na mtu mwenye UTI
TIBA ZA MAGONJWA HAYA ZIPO KWA KUTUMIA TIBA LISHE ITAKAYO TIBU CHANZO CHA TATIZO NA KUKUPA ULINZI WAKUTOSHA MDA WOTE KWAMDA MFUPI SANA kwa mawasiliano wasiliana Nas kwa aim namba 0746025719 au 0653996935
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Isyesye
Mbeya
2222