mustsoinfo.organization

mustsoinfo.organization

Share

01/02/2026

WAKATI UMEWADIAAAAA 🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🔊🔊
🎤 Una kipaji?
Wanafunzi wote wenye vipaji na wanaotaka ku-perform wanakaribishwa kujisajili 📩

🤝 Sponsorship iko wazi!
Taasisi, makampuni na wafanyabiashara mnakaribishwa kushirikiana nasi.
-------------------------------
📞 Wasiliana nasi:
Minister of Sports: +255 620 360 113
Sports Secretary: +255 624 694 818

👉 Follow us for updates:

WelcomeFreshers MbeyaUniversity

Photos from mustsoinfo.organization's post 31/01/2026

Mhe. Rais Yohana Lucas pamoja na Katibu wizara ya Fedha Peter Mahoncha Wakiwa katika picha ya pamoja na CEo wa chaulah warawara tech zone Ambapo adhima kuu ilikuwa ni kuelekea katika maandaalizi ya kilele cha welcome freshers 2026 ✅
Chaulah Tech zone Ni wauzaji wa vifaa vya kielectronics pia ni wauzaji wa simu Wanapatikana Mwanjelwa soko jipya.
--------------------------------------------
🔥🙌❗
😁👋💢💥

05/01/2026

Have you visited the MUSTSO website yet?? 🤷🏻‍♂️🌐
Explore updates, leadership, services & more at:
👉 www.mustso.digital
-------------------------------------
🟦🟦🟦🟦🟦🟦🟦🟦🟦🟦

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Culinary Team

Attire

Website

Address


Mbeya