G-Plus Pharmacy

G-Plus Pharmacy

Share

- Tunauza dawa jumla na rejareja
- Elimu na ushauri kwa magonjwa yote ni bure
- Ushuari wa matumizi sahihi ya dawa
- Daktari wa meno anakuwepo jumamosi na jumapili.

25/02/2023

Mashine za kupimia presha sasa zinapatikana dukani kwetu.

Ni rahisi kuitumia na inafaa kwa matumizi ya nyumbani na hospitali.

KARIBU.

Photos from G-Plus Pharmacy's post 16/04/2021

Mafuta ya rasi/dredz ya ujazo wa 125mls, 250mls na 500mls yanapatikana dukan kwetu. KARIBU

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Kiwira/Tandale
Mbeya

Opening Hours

Monday 01:30 - 18:00