emanuemlingwa

emanuemlingwa

Share

Kwa yoyote nitakae fanya nae kazi atapata Elimu ya Afya bure kabisa na consultation pia

Photos 21/05/2020

JE UNAJUA K**A UCHKUAJI WA MIKOPO BILA KUWA NA ELIMU YA FEDHA YA NAMNA GANI UTAREJESHA UTAATHIRI AFYA YAKO??

Leo tutaenda kuangalia maeneo makuu mawili yanayoathirika zaidi.

Eneo la kwanza:Mfumo wa Fahamu
(Ubongo)
Katika eneo hili likiathirika yafuatayo yanawezekana kutokea

1.ugonjwa Wa akili
2.kusahau Mara Kwa mara
3.kupata msongo Wa Mawazo utakaopekea shinikizo la damu Kuwa juu
4.kujiua Maana ubongo unakosa maamuzi sahihi
5.kupunguza Uwezo Wa kufikiri

Eneo la pili litakaloathirika ni mfumo Wa kinga.

Mfumo wa kinga ukiathiriwa mwili utapata magonjwa nyemelezi Mara kwa Mara k**a
1.mafua na kikohozi cha Mara kwa mara
2.vidonda vya tumbo hii ni kwa sababu ya uzalishwaji Wa free radical nyingi yaani oksijeni ilionamapungufu na hii Hishambulia kuta za tumbo
3.hupelekea Kuongezeka kasi ya kuzeeka.

Ushauri :kabla ya kuchkua mkopo hakikisha una majibu ya maswali haya
Kwann na chkua mkopo
Je nitaweza kuurejesha
Je nina Elimu ya Kunisaidia kupata njia rahisi ya kurejesha

Haya yote Buce agrimoney company limited, kampuni inayotoa Elimu ya fedha na mikopo kwa riba rafiki it akusaidia kukushauri namna ya kurejesha mkopo wako kwa urahisi kabisa.
Pia kampuni hii Inatoa Elimu ya Afya kwa Wanachama wake bure

Wako pharmacist and ceo Buce agrimoney ltd, tunajali Afya na mafanikio ya mteja wetu.

Wasiliana Nasi kwa 0763231060
Au Barua Pepe, [email protected].
.

Photos 20/05/2020

JE UNAJUA UCHKUAJI WA MIKOPO BILA MALENGO UNAVYOATHIRI AFYA YAKO YA MWILI?

FUATANA NAMI KATIKA SOMO LA KESHO.
ES SALAAM.

Photos 15/05/2020

SOMO LA LEO :UMUHIMU WA KUWA NA MSHAURI WA AFYA KWAKO BINAFSI AU FAMILIA YAKO

Je uwahi kwenda hospitali ukakaa zaidi ya Masaa 8 Lakini ukapewa paracetamol tu Kisha ukarudi nyumbani?

Je uwahi Kuwaza nini juu ya kuboresha Afya yako na familia yako?

Twende pamoja katika Somo Hilo.
Washauri wanaweza Kuwa Daktari, nesi au mfamasia.

1. Kuwa na MSHAURI Inakusadia kuokoa muda na Pesa, kwani sio Kila ugonjwa unahitaji Kwenda hospitali na Kumbuka ukienda hospitali utapoteza muda na fedha,simanishi usiende hospitali Lakini kwa Kuwa na MSHAURI itapunguza safari zisizo za lazima za kwenda hospitali

2.kuboresha mfumo wa maisha Maana MSHAURI atakueleza ule nini na ufanye mazoezi ya Aina gani, Kumbuka takwimu zinaonesha mgonjwa mengi yanasabishwa na mfumo wa maisha mfano kisukari, shinikizo la damu nk

3.kuongeza muda wa kuishi kwani kwa kufuata maelekezo ya MSHAURI wako hii Itakusaidia kuboresha kinga ya mwili na hivyo mwili kukabiliana na mgonjwa nyemelezi.

4 kupunguza uwezekano Wa tatizo Kuwa Kubwa kwani MSHAURI Utazitambua dalili za awali na kukushauri nini cha kufanya.

5.Kwa makundi maalumu k**a wajawazito, watoto, wazee ni rahisi kuwapunguzia athari kiafya na kuboresha maisha yao

Mwisho. Nathani unafikiria juu ya gharama je uwewahi kuhudumiwa Kisha ukaomba namba ya Daktari aliekuhudumia kwa ajili ya Kuwa unamjulisha juu ya Afya yako?

ZINGATIA :kampuni ya BUCE Agrimoney limited ni kampuni atakayotoa offer ya ushauri Wa Afya bure kabisa kwa wateja wake, kampuni hii Inatoa Elimu ya fedha pia Inatoa mikopo kwa Wafanyakazi na Kuwaonesha sehemu za kuwekeza Pesa zao pindi Wachkuapo mikopo....

Wako ni pharmacist and ceo Wa Buce agrimoney company ltd.

Kwa Mawasiliano Bonyeza linki hii👇

https://wa.me/255763231060

Karibu Buce agrimoney company limited tu najali Afya ya mteja wetu.

Want your business to be the top-listed Finance Company in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mbeya

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00