Mbeya Polytechnic College

Mbeya Polytechnic College

Share

21/07/2017

MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE –VOCATIONAL TRAINING CENTRE
Mobile: 0754-324 030 au 0764-774 929

TANGAZO LA MASOMO

Mkuu wa Chuo cha Mbeya Polytechnic, kilichopo Mbeya mjini, anawatangazia wananchi kuwa chuo kinatoa mafunzo ya NABE STAGE I, STAGE II na STAGE III, maingizo ya mwezi Januari na Julai kila mwaka.

Mafunzo yanatolewa katika fani za Uhazili (Secretarial), Biashara (Commerce) na Uhasibu (Accountancy), yanayofundishwa kwa miezi sita kila stage. Mafunzo ya kozi fupi na ndefu za kompyuta yanatolewa k**a nyongeza. Sifa za kujiunga ni mwanafunzi yeyote aliyemaliza kidato cha nne (IV) na kuendelea.

Wahitimu wa STAGE II, wataweza kujiunga na ;ATEC I chini ya Ncational Board of Accountants and Auditors (NBAA) au NTA level 4 chini ya NACTE katika fani husika k**a vile Uhasibu (Accountancy), Manunuzi na Ugavi(Procurement & Supply) au Uboharia (Store Keeping)

Wahitimu wa STAGE III, wataweza kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE kuendelea na ngazi ya Diploma katika fani za Uhasibu, Manunuzi na Ugavi au Uboharia, ama kujiajiri au kuajiriwa katika sekta mbalimbali .

Kwa maelezo zaidi piga simu 0754-324 030 / 0764-774 929 /
0714-147353 au 0783-362553
Barua pepe: [email protected]
S.L.P 2433, Mbeya.

MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“TO LEARN IS TO CHANGE.”

MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE –VOCATIONAL TRAINING CENTRE
Mobile: 0754-324 030 / 0764-774 929

TANGAZO LA MASOMO

Mkuu wa Chuo cha Mbeya Polytechnic, kilichopo Tukuyu, Mbeya; anawatangazia nafasi za masomo kwa kozi za kilimo (Agriculture), Kilimo na Maliasili (Agriculture and Natural Resources Management) na Kilimo cha Bustani (Agriculture in Horticulture Management) Kwa ngazi ya VETA Level I, Level II na Level III.

Wahitimu wa Level II wataweza kujiunga na ngazi ya Cheti (Certificate) chini ya NACTE kwa wahitimu wa VETA-Level III wataweza kujiunga moja kwa moja na ngazi ya Diploma kwa miaka 2.

Sifa za kujiunga ni muhitimu wa kidato cha nne (O-Level) mwenye ufaulu wa angalau alama moja ya D katika somo lolote.

Tunawashauri wanafunzi wanaopenda taaluma ya kilimo na maliasili lakini wamekosa D tatu za Masomo ya sayansi zinazotakiwa na NACTE, nafasi bado ipo. Serikali inaruhusu wanafunzi hao wasome NVA level I na II ndipo waendelee na NTA level IV, Ama NVA level I, II na III ndipo waendelee na Diploma. Utadhani unachelewa, kumbuka Mungu hachelewi wala hawahi. Jipange kwa kozi itakayokidhi haja ya moyo wako. Kozi isiyosumbua Ajira. Ku-resit na kuweza kufaulu masomo ya Sayansi ni kazi ngumu kuliko utaratibu huu wa kupitia VETA. Asante Serikali kwa njia hii mbadala.

Kwa maelezo zaidi piga simu 0754-324 030 / 0764-774 929 /
0714-147353 au 0783-362553
Barua pepe [email protected]
S.L.P 2433, Mbeya au S.L.P 479 Tukuyu

MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“TO LEARN IS TO CHANGE.”


MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE- OPEN SCHOOL
Mobile: 0754-324 030 / 0764-774 929

TANGAZO LA MASOMO

Chuo cha Mbeya Polytechnic kilichopo kata ya Iganzo, Mbeya mjini,kinatangaza programu maalum ya masomo ya sekondari.

Masomo haya yatatolewa kwa wanafunzi:
(i) ambao hawakupata nafasi ya kujiunga kidato cha I (Kwanza),
(ii) wale wanaotaka kurudia mitihani kwa kutokupata alama za kutosha kujiunga na kidato cha V (Tano)
(iii) na wale wanaotaka kufanya mitihani ya kidato cha VI (Sita).

Programu hii itawawezesha wanafunzi kuhitimu masomo ya kidato cha I na cha II katika mwaka mmoja na kufanya mitihani ya QT;

Na masomo ya kidato cha III na IV katika mwaka mmoja na kufanya mitihani ya kidato cha nne (CSEE).

Aidha wanafunzi watasoma masomo ya kidato cha V na cha VI kwa mwaka mmoja na kufanya mitihani wa kidato cha Sita (ACSEE).

Tuna michepuo ya HKL, HGK, HGL, HGE, EGM, PCB, PCM, CBG na ECA.
Hivi sasa tunaandikisha watahiniwa wanaotaka kufanya mitihani ya kidato cha VI kwa mwaka 2017-2018 kwa namba ya usajili P1248.

Kwa maelezo zaidi piga simu 0754-324 030 / 0764-774 929 /
0714-147353 au 0783-362553
Barua pepe [email protected]
S.L.P 2433, Mbeya.

MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“TO LEARN IS TO CHANGE.”

24/01/2017

NAMNA YA KULIPIA NACTE KOZI ZIFUATAZO WAKATI WA KUOMBA

Agriculture, Livestock, Engineering, ICT or other related Sciences and Technologies and other program areas such as Teacher Education he/she will be required to add 10,000/= Payment of application fee through M-Pesa can be done by following the steps below: -
Payment Instructions Maelekezo ya Jinsi ya kulipia
1. Dial *150*00 # 1. Piga *150*00 #
2. Select 4. (Payments) 2. Chagua 4. LIPA kwa M-Pesa
3. Select 4. Enter business number 3. Chagua 4. Weka namba ya kampuni
4. Enter the business number now, (Please enter 607070) 4. Tafadhali weka namba ya kampuni No. (607070)
5. Enter reference no. (Please enter 1234) 5. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo No. (1234)
6. Enter Amount (20,000/=) 6. Weka kiasi (e.g.20,000/=)
7. Enter PIN 7. Weka namba ya siri.
8. Press 1 to Confirm 8. Bonyeza 1 kuthibitisha:
2.4 Minimum Entry the co

13/04/2016

Chuo cha Mbeya Polytechnic kina kampasi Mbeya mjini na Tukuyu mjini.

Kampasi ya Mbeya inatoa kozi zifuatazo: ICT, Business Administration
na General Agriculture. Kampasi ya Tukuyu inatoa Agriculture and
Natural Resources Management, ni Chuo pekee nchini kinachotoa kozi hii ya Kilimo na Maliasili. Sifa za kujiunga: Kidato cha nne wenye D nne au VETA-NVA3. Waombaji wapeleke maombi kupitia tovuti ya NACTE, www.nacte.go.tz.

Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya Chuo www.mbeyacollege.ac.tz au piga simu namba zifuatazo: 0752311100, 0752793015 na 0783362553.

Kwa waombaji waliopo Mkoa wa Mbeya wanaweza kufika Chuoni ili
kusaidiwa namna ya kujaza maombi kupitia mfumo wa NACTE wa Central Admission System bila malipo

Want your school to be the top-listed School/college in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


IGANZO
Mbeya

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:30
Tuesday 08:00 - 21:30
Wednesday 08:00 - 21:30
Thursday 08:00 - 21:30
Friday 08:00 - 21:30